+255716301800

 

Karibu

BSHG Consultants Limited ni kampuni iliyosajiliwa Tanzania inayoshughulika na masuala ya
ujasiriamali katika maeneo mbalimbali yakiwemo yafuatayo:

  • Uchimbaji na uuzaji wa madini ya aina mbalimbali
  • Kilimo cha mazao mbalimbali katika maeneo kadhaa ya Tanzania
  • Ushauri wa kibiashara kwa wajasiriamali katika maeneo mbalimbali
  • Maeneo mengine
Kampuni inamilikiwa na Watanzania wenye taaluma na ujuzi mbalimbali katika masuala ya biashara. Soma Zaidi

 

Jisajili Sasa


Jisajili Ujipatie Ushauri wa Kitaalamu!
Jina:  
Baruapepe
(email):
 

Zungumza na Wataalamu

Tembelea ukurasa huu mara kwa mara na ujipatie taarifa mpya mbalimbali toka kwa wataalamu wa BSHG. Jisikie huru tuachie anuani yako ya barua pepe (email) hapo juu nasi tutakuorodhesha katika mfumo wetu na utakuwa unapokea barua pepe zetu zenye kila lilolo jema.

Karibu ujiunge nasi!

Habari Za Hivi Punde

Hakuna habari mpya, tafadhali angalia tena baadae katika ukurasa huu huu.

Jisikie hure pia kuwasilina nasi kwa kujaza fomu ya mawasiliano. Bofya "Wasiliana nasi" hapo juu, upate kuwasiliana nasi.

 

.